Jumba hilo linavyoonekana kwa mbele na baadhi ya waumini waliokuja kushuhudia uzinduzi huo.
Mambo ya kabatini na vyombo sasa.
Haris Kapiga ndo alikua Mc apo akiwa na Mother house mwenywe Mch.Rwakatale.
Mc Haris Kapiga alijisahau mpaka kazi yake kwa raha za umo ndani akiwa na mmoja ya wageni waalikwa.
Wakati wa Maakuli sasa.
Dressing Table
Ofisi binafsi.na sehemu ya mikutano
Baada ya shughuli za siku nzima Mama huyu anakuja kuubwaga mwili apa.
Mchungaji Getrude
Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi.Nyumba hiyo ambayo ni
kubwa sana inasehemu ya saloon,sehemu ya kufanyia mazoezi na recreation
mbalimabli.Inaripotiwa kuwa waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika
mahali hapo kwa kushuhudia nyumba yake hiyo ya kifahari.
No comments:
Post a Comment