Saturday, September 8, 2012

Kura ya maoni: Freeman Mbowe vs Dr Slaa.

Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Freeman Mbowe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.

No comments:

Post a Comment