Tuesday, September 25, 2012

VIDEO YA NGONO YA KANYE WEST YASAMBAA MTAANI




Rapper Kanye West anaweza kujikuta katika aibu kubwa baada ya kudaiwa kusambaa kwa video ya dakika 20 inayomwonesha akifanya mapenzi na mwanamke asiyejulikana.

RadarOnline.com inaripoti kuwa kuna mtu anayeiuza tape hiyo kwenye vyombo vya habari.

Mwakilishi wa Radar amedai kuwa wameiona video hiyo na kuthibitisha kuwa ni kweli anayeonekana ni Kanye West.

Tape hiyo inadaiwa kurekodiwa kwenye chumba cha hoteli na mwanamke asiyejulikana na ambaye anafanana na mpenzi wake wa sasa Kim Kardashian.

Mwanzoni mwa video msichana huyo anasikika akisema ana miaka 18.

Anadai kuwa ameolewa na yupo hapo kufanya mapenzi na Kanye kwasababu mume hamtimizii haja yake tena.

Chanzo kimoja kimedai kuwa Kanye West ameshtushwa vibaya na kuvuja kwa tape hiyo na kwamba alikuwa akifanya kila awezalo ili kuifanya isisambae.

“If this were to hit the market it would be worth a fortune, there would definitely be a lot of people wanting to see this,” kilisema chanzo hicho.

“Kanye was practically in tears when he heard the tape was being shopped.”

Kama ikisambaa, tape hiyo itakuwa na madhara makubwa kimuziki kwa Kanye West

IRENE UWOYA APATA SHAVU LA KUFANYA FILAMU MOJA NA NYOTA WA MAREKANI ‘HALLE BERRY

WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani. Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.
Ishu ya Uwoya kushiriki ndani ya filamu moja na mwanadada huyo inadaiwa kuwa katika mazungumzo anayofanya nchini Uingereza mmoja ya wadau wakubwa ya tasnia hiyo kutoka Marekani ndiye aliyempa ishu hiyo baada ya kuona baadhi ya filamu alizocheza pamoja kujiamini kwake.
Uwoya alidai kuwa bado hajaamini kwani hajapewa ishu kamili na ameambiwa kuwa atajulishwa kwa njia ya email endapo kila kitu kitakuwa sawa kwa sababu ya ratiba ya Berry.

“Naweza kucheza filamu moja na Halle Berry, ingawa sijajua kama ishu hii inaweza kuwa kweli kwa sababu kama unavyojua kila kitu huwa kinaenda kwa ratiba siyo kama sisi bongo filamu tunajitolea bila hata kufuata ratiba,”
a lidai.

Mch. Chrstopher Mtikila ashinda kesi ya kumkashfu Rais JK

Picture
Mchungaji Christopher Mtikila akifurahia ushindi baada ya kushinda kesi dhidi yake.
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameshinda kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili.Akizungumza baada ya kushinda kesi hiyo, Mtikila amesema, “Ushindi huu niliutarajia maana hata asubuhi kabla ya kuja mahakamani niliongea na Yesu na sasa amenijibu”. Mara baada ya kushinda kesi hiyo lilizuka timbwili lingine baada ya mtu mmoja kujitokeza akiwa na RB (Report Book) akimtuhumu Mchungaji Mtikila kuwa alimtishia kumuua na ni mwizi wa viwanja. Baada ya kutaka kukamatwa na polisi mmoja aliyekuwa na cheo cha Koplo, Mchungaji alikataa kwa madai kuwa yeye ni kiongozi wa kitaifa hivyo hawezi kukamatwa na polisi mwenye cheo cha Koplo, labda polisi mwenye cheo cha SSP (Senior Superintendent of Police). Kwa kauli hiyo polisi alishindwa kumtia nguvuni.
Taarifa via GPL
Picture
Mtikila amkimsikiliza Koplo wa Polisi mwenye RB Namba : KMR/RB/10482 yenye maelezo ya kutishia kuuwa kwa maneno na wizi wa viwanja iliyofunguliwa na bwana Gotta Ndungulu.
* “Hukumu dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, iliyoahirishwa mara mbili kwa sababu ya hakimu kuwa na dharura, ilisomwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu a Hakimu Mkazi Mfawidhi, Illivin Mugeta aliyeisikiliza kesi hiyo ya kutoa maneno ya uchochezi.Mtikila alikuwa akikabiliwa na mashitaka ya kusambaza waraka wa uchochezi dhidi ya Rais Jakaya Kikwete, kwamba anataka kuuangamiza Ukristo. Mshitakiwa Mtikila alifunga ushahidi kwa kuwa na mashahidi wawili wa utetezi, akihofia kupoteza fedha za Serikali kwa kuwaleta mashahidi wengi ambao hawana kitu tofauti na mashahidi wengine waliokuwa wamewasilisha ushahidi wao mahakamani hapo.
Mtikila, anadaiwa kwamba, Aprili, 2010 Dar es Salaam, alisambaza waraka aliokuwa akidai ni wa kuunusuru Ukristo wenye lengo la kuangamizwa na Jihad ya Rais Jakaya Kikwete na kwamba Wakristo wajitoe mhanga kukomesha ugaidi, “Kikwete anaangamiza Ukristo, amekuwa jasiri wa kuingiza Uislamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alidai Mtikila katika waraka wake huo.
Alidai waraka uliosambazwa alisaini akiwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Kuunusuru Ukristo na walichapisha nakala 100,000, lakini aligoma kutaja mahali walipochapishia nakala hizo. Maelezo yote hayo yalitolewa mahakamani kama kielelezo na ofisa wa polisi, SSP, Ibeleze Mrema aliyemuhoji Mtikila Aprili 14, 2010.”
(* ” nukuu ya taarifa ya gazeti la MTANZANIA le leo kabla ya hukumu kusomwa)
Picture
Mtikila akiondoka Mahakamani baada ya kushinda kesi na kutokamatwa na polisi.

Monday, September 24, 2012

Mtoto wa Wasira(MB) Ajiunga Chadema

Picture
Kadi ikitiliwa saini, Houston, Texas, Marekani (picha: Blogu ya CHADEMA USA)
Picture
Viongozi wa Tawi la CHADEMA-Houston wamkabidhi Kadi ya CHADEMA, Makongoro Wassira (picha: blogu ya CHADEMA USA)

PICHA ZA UTUPU HAZINA UHUSIANO WOWOTE NA PENZI LAKO KWA MTU WAKO...NI KUDHALILISHANA TU



Kiumri anaonekana ni mdogo lakini kimatendo anaonekana ni mtu mzima.......
 Dalili zinaonesha kuwa hana daliliya kujuta hata kidogo kwa sababu hata  ukimwangalia amekaa katika  mkao wa kupiga picha.......kwa hiyo  ilikuwa ni ridhaa yake
Huenda  ilikuwa ni zawadi kwa mpenzi wake....lakini ni ukweli usiopingika  kuwa hakuna  zawadi za  picha za utupu maana  watu si waaminifu........

Mkizinguana tu, picha  zinazagaa mitandaoni. kuweni makini  akina dada zetu

Picha za  utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalisha kwa kukupiga ukiwa mtupu

Jinsi ya Kuwa SEXY


Sina hakika neno “sexy” kwa kiswahili ni nini hasa, je ni kuvutia in a sensual way kwamba watu wanakuona uko kingono-ngono (picha wanaipata wanapokuona ni unavyokuwa juu ya vitanda vyao)?


Huhitaji kuwa mzuri wa asili, mrembo, mwenye umbo zuri au Tajiri ili kuwa “sexy”, huitaji kwenda na wakati ktk uvaaji wako, huitaji kuwa mnene au mwembamba ili uwe “sexy” bali ni jinsi hivyo ulivyo, jitihada zako za kuwa ulivyo hasa kwa kufanya vile vitu unavyopenda kuvifanya bila kuhofia wengine watakufikiriaje na bila kusahau swala zima la kujiamini wewe kama wewe.


Baadhi ya watu huchanganya swala la kujiamni na badala yake wanakuwa na viburi mbele za watu wakidhani kuwa huko ndio kuwa- “sexy”.



Pia kumbuka kuwa kuna vitu vingine tunavifanya kila siku lakini kwa watu wengine wanaviona ni “sexy” kama vile

-sauti,
-jinsi unavyoongea na kulamba midomo yako,
-jinsi unavyoona aibu kujieleza,
- miondoko yako,
-unavyotazama,
-unavyotafuna,
-unapokuwa jikoni unasonga ugali n.k.


U “sexy” hutegemeana na mtu mwenyewe anaona kama ilivyo uzuri……kwamba uzuri uko machoni mwa mtazamaji.


Wakati mwingine kuwa “sexy” ni hisia zako mweyewe kwamba unahisi kuwa uko hivyo kutokana na ulivyo vaa siku hiyo au kwa vile umenenepa au umepunguza uzito….
Lakini huwezi kukurupuka tu ukaanza kujihisi kuwa uko “sexy” unahitaji kufanya jitihada fulani sio.

Mwanamke

1-Kuwa safi na nukia vizuri, sasa basi kuoga mara tatu kwa siku ni muhimu ili kufanya ngozi yako ipendeze na kuboreka kutokana kufungua vijitundu vya kupitisha hewa.
Kunikia ninakokuzungumzia sio lazima kuwe kwa manukato ghali unaweza ukawekeza kwenye “vikausha kwapa” (deodorant) nakisha ukamalizia na mafuta yako ya “Rays”) well tumia aina yoyote ya mafuta/lotion inayopata na aina ya ngozi yako na ambayo haitochukua/badilisha harufu yako asilia ya mwili.


2-Hakikisha unaondoa nywele zisizotakiwa au zile ambazo hupendi kuziona, yaani zinakuogofya kama vile kwapani, kwenye mstari wa ikweta, sehemu ya tumboni/kifuani (mwanamke huitaji nywele sehemu hizo), miguuni, mikononi, kwenye vifundo vya vidole miguuni, yetini, kidevuni na mustachi (kama unazo sehemu hizo zifanyie utaratibu tafadhali....utakuwa kama baba).


3-Vaa vizuri na jitahidi kuwa na mtindo wako mmoja wa uvaaji na pia jaribu kuwa mbunifu na ulijue umbile lako…..kwamba vaa kutokana na umbile lako ili kuepuka vazi kukuvaa wewe Mfano:



Kila vazi unalovaa lazima liwe na rangi inafanana na kidani cha mkufu wako, rangi za mavazi yako ni zile zilizopoa tu au kila kiatu unachovaa lazima kiwe na kisigino kirefu (nadhani umenielewa nina maana gani), hali hiyo itakufanya ujiamini zaidi ktk uvaaji wako, vilevile siku ukibadilisha na kuvaa tofauti na mtindo wako unaweza ukahisi kuwa uko-Sexy…….ukipata hisia hiyo utajiamini na wengine watakuona vile unavyohisi kwa ndani.


Ukishindwa kabisa basi wewe wekeza kwenye Jeans…..wanasema Jeans ni “ultimate sexy accessory” chagua ile itakayo shikilia vema makalio yako na kuchonga vema umbile lako…hahaha.



Hakikisha hutolei macho sana “trends” kama skinny jeans au hipster badala yake wekeza kwenye ubora na wakati huohuo usisahau kuwa lazima iwe “classic” kwamba utaweza kuvaa vazi hilo kwa miaka mingine 5 ijayo bila kuhisi umepitwa na wakati.


4-Jifunze sanaa ya urembo, sio lazima ukandike poda na mirangi ya ajabu ajabu bali unaweza ukawa unatumia “foundation” kwenye T-zone zako kisha ukaongeza uwanja na lipgloss au mafuta ya “Rays” ili midomo yako isikaukiane, hakikisha unatengeneza nyusi zako kufuatana na uwingi wake au ukubwa wa macho yako....

5-Hakikisha kila kona ya mwili wako inatoa pumzi nzuri (isipokuwa pale utakapo ponyokwa na ushuzi ofcoz). Hakikisha ukicheka/ongea/nong’oneza, tabasamu harufu inayotoka hapo ni safi na inaita hivyo ni vema kabisa ikiwa utasafisha kinywa chako hasa ulimu (ulimi ndio kianzilishi cha harufu mbaya ya mdomo na sio meno)……jaribu kusugua ulimi alafu acha meno kisha mpumulie mtu usikie atakwambiaje?


6-Jifunze kuwekeza kwenye nguo za ndani, jitahidi kuwa na chupi/sidiria/gagulo nzuri na zenye ubora…..kumbuka matiti yakiwekwa vizuri kwenye sidiria utakachokiweka juu pia kitakaa vema, hali kadhalika chupi ukikosea rangi au aina basi unakuwa umeharibu kila kitu.


7-Hakikisha unafanyia kazi yale maeneo ambayo unadhani yanakufanya uwe noma/ovyo kuyaonyesha mbele ya mpenzi wako hali inayofanya mfanye mapenzi mkiwa mmejifunika au gizani.


Unaweza kufanikiwa kwa kufanya mazoezi au kwa sababu zozote unadhani huwezi basi tafuta aina ya viwalo ambavyo vijana kwa wazee wengi siku hizi wanaviona kuwa ni “sexy” kama ilivyo shanga ikiwa wapenzi wao watavitinga kwa kufanya hivyo kutafanya mpenzi wako aone vizuri umbile lako, alizoee na kulipenda vile lilivyo.

Sunday, September 23, 2012

WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA


 

KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha ameamua kuongeza ukubwa wa matiti yake.

Akipekuliwa  na  mdodosaji wetu jijini Dar es Salaam, Baby alisema amefikia uamuzi huo kwa sababu wanaume huvutiwa zaidi na matiti na makalio makubwa.


“Najua Wabongo wanaweza kushangazwa na uamuzi wangu, lakini ni mambo ya kawaida kabisa kutafuta mvuto wa mahaba kwa wanaume  wanaopenda  matiti  na  makalio  makubwa. Nimeanza na matiti, baadaye nitakwenda a makalio,” alisema.


Alipotakiwa kutaja hospitali aliyofanya upasuaji huo alijibu kwa kifipi: “Ni siri, siwezi kuitaja ila iko Nairobi (Kenya).”

"NIKITAKA KUOA NITAFANYA MCHUJO KAMA WA BONGO STAR SEARCH"...HII NI KAULI YA HEMEDI ILIYOLAANIWA VIKALI NA JACK WA CHUZ





Baada ya msanii wa filamu bongo Hemed Suleiman ‘P.H.D’, kutangaza endapo akiamua kuoa basi atafanya mchakato kama wa BSS au mashindano mengine ili kufanya mchunjo wa mwanamke mzuri atakayekuwa mke wake, Jackline PantezelJack wa Chuz, amedai kuwa kitendo alichokisema msanii huyo kinahitaji awaombe msamaha wanawake kwani anawafananisha na samaki wanaovuliwa kirahisi.
 
Kauli ya Jack inaonesha wazi kuwa anawatetea wanawake na hataki waonekane kama hawana maana yoyote ndani ya jamii au watu wanaokaa na kusubiri kuolewa tu wakati maisha ya sasa hayapo hivyo, na mwanamke yeyote atakaejitokeza kwenye mchakato huo atakuwa hana akili na atakuwa ni kahaba.


“Nilisikia tu kwamba anataka kufanya kitu kama BSS katika kutafuta mwanamke wa kuoa, na hapo ina maana kuwa tayari amesha wafanya wanawake kama samaki.

Nailaan  sana  kauli hii  na ni bora  Hemed  atuombe  Msamaha” alidai Pentzel

RAIS KIKWETE AKANA KUMUUZIA GEORGE BUSH ENEO LA KIGAMBONI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo juz aliweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwaonya watu ambao amewaeleza kuwa wanavyo viwanda vya kutunga uongo kuacha tabia hiyo na kuelekeza nguvu kwenye maendeleo.

Aidha, Rais Kikwete amewahakikishia wakazi wote wa Kigamboni ambao wanaondolewa katika maeneo yao kwa ajili ya kupisha ujenzi wa daraja hilo na ujenzi wa Mji Mpya wa Kigamboni kuwa watalipwa stahili na haki zao zote.

Daraja hilo la Kigamboni ambalo wazo la kujengwa kwake lilibuniwa kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30, tokea mwaka 1978, wakati wa uongozi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, linajengwa kwa gharama ya Sh. bilioni 214.6 na litakuwa tayari katika muda wa miezi 36 ijayo, ingawa muda huo unaweza kupungua na kubakia miezi 30.

Daraja hilo ambalo litakuwa na urefu wa mita 680 linagharimiwa kwa pamoja na Serikali na Shirika la Hifadhi ya Jamii la NSSF ambalo litachangia kiasi cha asilimia 60 na Serikali asilimia 40.

Daraja hilo ambalo litakuwa na jumla ya barabara za kupitisha magari sita kwa wakati mmoja linajengwa na makampuni mawili ya China ambayo ni China Railway Construction Engineering Group na China Railway Major Bridge Engineering Company na mhandisi msimamizi wa ujenzi huo ni Kampuni ya Misri.

Daraja hilo litapunguza adha ya usafiri kati ya Kigamboni na Dar es Salaam ambao kwa sasa unategemea vivuko, ama boti ndogo, mitumbwi ama wenye magari kulazimika kufanya mzungumo wa kilomita 52. Kwa uamuzi wa sasa, wavuka kwa miguu ambao watakuwa na njia maalum kwenye daraja hilo pamoja na waendesha baiskeli watavuka bure bila malipo yoyote.

Akizungumza kwenye sherehe hiyo, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali haiwezi kudhulumu wananchi wake na hivyo watu wote ambao wanastahili fidia kutokana na ujenzi wa daraja hilo na mji mpya wa Kigamboni watalipwa haki na stahiki zao.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa Serikali yake haitaruhusu mtu yoyote kuzuia ama kuchelewesha miradi ya maendeleo ambayo inalenga kunufaisha watu wengi.

Rais Kikwete pia amewaonya watu ambao wamelifanya suala la kutunga na kusema uongo kama sehemu ya utamaduni wao. “Watu wana viwanda vya kuzalisha uongo. Wanashinda wanasambaza uongo kwenye mitandao, kila mahali. Wamepata hata kusema kuwa mimi nimemuuzia George Bush eneo la Kigamboni. Bush aje kufanya nini Kigamboni?”

Rais pia amesema kuwa wapo watu ambao hawapendi maendeleo ya nchi. “Wanatamani kila siku tushindwe kuwaletea wananchi maendeleo. Lakini watakufa kwa kihoro kwa sababu hatutashindwa. Kila tulilosema tutalifanya, litafanyika”.

Amesema kuwa thamani kubwa ya vyama vya siasa ni maendeleo ya wananchi. “Lakini wapo wenzetu ambao wanaudhika wakiona maendeleo. Wanapenda hata daraja hili lisijengwe. Leo hawatalala usingizi. Kazi ya vyama vya siasa ni kuweka maslahi yetu sote mbele.”

UVAAJI HUU NI AIBU NA PIA NI CHANZO KIKUBWA CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME



WANAWAKE  WAMECHANGIA  TATIZO LA  UKOSEFU  WA  MBEGU ZA KIUME KWA  ASILIMIA 100 ........

HII NI  KUTOKANA NA TABIA YAO  YA KUANIKA VIUNGO NYETI  HADHARANI  KAMA  MATITI, MAKALIO  YAO NA  MAPAJA..........


ZAMANI  ILIKUWA  KWAMBA UKILIONA  PAJA  LA  MWANAMKE, NI  LAZIMA USISIMKE........WALIOZALIWA MIAKA  YA 80  NA KURUDI NYUMA  WANAJUA.......

LEO HII  TUNAKAA  NA WADADA  WAKIWA NUSU  UCHI, MIPAJA YAO  IKIWA NJE NJE  KIASI  KWAMBA TUMEFIKIA HATUA  TUNAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA........

NI  UKWELI  USIOPINGIKA  KUWA WANAWAKE WAMEWAHARIBU SANA WANAUME KIHISIA.....PAMOJA NA JITIHADA ZOTE  ZAKUWASEMA NDO KWANZA WANAONGEZA VITUKO
 HAPA NI  KUMKUFURU MUNGU.......ACHENI MAMBO  YA  KUIGA......NIKUJIDHALILISHA.


Saturday, September 22, 2012

WANAWAKE KUTEMBEA NUSU UCHI, KUMBE WANA LAO JAMBO.....!




Kuna wakati wanaume hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta soko kwa wanaume. Inawezekana kukawa na wale ambao wana sababu hizo, lakini wapo wale ambao wanalipa fidia kutokana na kuamini kwao kwamba, sura zao zimewaangusha, hivyo miguu yao mizuri inabidi kuziba pengo au udhaifu huo.


Wakati mwingine hata wanawake wanaodhani au kudhaniwa kuwa ni wazuri, wamekuwa wakivaa nguo fupi zinazoonyesha maungo yao. Hawa nao ni lazima wanalipa fidia ya kasoro fulani waliyo nayo. Inawezekana wameshindwa kulinda ndoa zao, au inawezekana hawajaolewa na sasa wanataka kuonyesha kwamba, pamoja na kutoolewa kwao, bado wao wana sura na miguu au miili mizuri.


Udhaifu wowote ambao unamkera mwanamke iwe ni wa moja kwa moja au kupitia nyuma ya ubongo wake, unaweza kuonyeshwa kwa mwanamke huyo kuyatangaza yale maeneo ya mwili wake ambayo anaamini ni mazuri. Kuyatangaza huko humpa ahueni kwa kuamini kwamba bado anayo thamani, kwani ataangaliwa sana na wanaume, kusifiwa na pengine kutongozwa.


Hebu angalia wanawake ambao wanavaa nguo za kubana huku wakiwa na makalio makubwa. Hawa mara nyingi wana sura ambazo wao au wengi huamini kwamba ni mbaya. Huvaa nguo hizi ili kuonyesha kwamba, pamoja na ubaya wa sura zao, bado wao ni wazuri sana katika maeneo mengine ya mwili ambayo wanaume na hata wanawake wengi huyapenda au kutamani kuwa nayo.


Wengi hawavai tu nguo hizi za kubana kwa sababu ni fasheni, la hasha, wengi hili ni kimbilio la udhaifu wao.

Friday, September 21, 2012

Kagera: Binti aliyejifungua akifanya mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi

Mwanafunzi wa darasa la saba amejifungua wakati akifanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wilayani Muleba, Kagera.
Tukio hilo lilitokea juzi kati ya saa nne na tano asubuhi katika Shule ya Msingi Kabiri katika Kijiji na Kata ya Kabirizi, Nshamba wakati mwanafunzi huyo, mwenye umri wa miaka 14 (jina na namba yake ya mtihani inahifadhiwa) akifanya mtihani wa pili na wenzake ndani ya chumba cha mtihani.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka shule hiyo, mwanafunzi huyo, alimwomba Msimamizi muda mfupi baada ya kuanza mtihani wa Hisabati, amruhusu kutoka nje kwa kuwa alikuwa akijisikia vibaya.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari kutoka eneo la tukio, baada ya mwanafunzi huyo kumwomba Msimamizi ruhusa, alimzuia akidhani ni ujanja wa kutaka kwenda kuchukua majibu, lakini baadaye aliona akijinyonganyonga.
“Msimamizi alimwuliza anaumwa nini akamwambia anaumwa tumbo na baada ya kuendelea kumhoji alimweleza wazi kwamba anaumwa uchungu, hali iliyomfanya Msimamizi aende kwa mmoja wa walimu wa shule hiyo na kumwomba msaada,” alisema mmoja wa watahiniwa hao na kuongeza: “Walimchukua na kumwingiza kwenye nyumba ya mwalimu huyo na kumfuata mkunga wa jadi ambaye alimsaidia kujifungua salama mtoto wa kiume”.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, mtoto huyo alipewa jina la OMR, mfumo mpya maalumu unaotumika kujibu maswali ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu, ambapo mwanafunzi anaainisha jibu sahihi kwa kusiliba kwa kalamu ya risasi.
Akizungumzia tukio hilo, Kaimu Ofisa Elimu wa Wilaya ya Muleba, Savera Celestine alithibitisha binti huyo kujifungua, lakini hakutaka kulizungumzia kwa undani suala hilo, kwa madai kuwa mzungumzaji mkuu wa masuala yote ya mtihani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya, “Ni kweli tukio hilo lipo, lakini mimi ndio nimefika hapa ofisini sasa hivi, sijapokea taarifa rasmi juu ya tukio hilo, lakini hata kama ningelikuwa nalo siwezi kulizungumzia kwa sababu anayepaswa kuzungumzia masuala yote ya mtihani huu ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, hebu mpigie atakupa taarifa,” alisema Kaimu Ofisa Elimu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mtihani ya Wilaya, Oliver Vavunge alipotafutwa kwa njia ya simu ili kuzungumzia tukio hilo, hakukiri wala kukanusha kuwapo tukio hilo na kusisitiza, kwamba atazungumza baada ya kupokea taarifa ya wilaya nzima kuhusu mtihani huo, “Kwa sasa niko huku kisiwani nashughulikia masuala ya mtihani, siwezi kuzungumzia jambo lolote la mtihani, natarajia kufanya hivyo kesho (leo) ambapo nitakuwa nimepata taarifa ya wilaya nzima, tena tutakuwa tumefanya majumuisho yote,” alisema Vavunge.
Ofisa Mtendaji wa Kata hiyo, Ally Rajabu naye kwa njia ya simu, alikiri kutokea tukio hilo na kueleza kwamba baada ya mwanafunzi huyo kujifungua, alionekana kuchoka na walimtoa kwenye nyumba ya mwalimu na kumpeleka kwao.
Alisema hata hivyo, alikuwa chini ya ulinzi wa askari waliokuwa wakimsubiri apate nguvu ili ikiwezekana arejeshwe shuleni kuendelea na mtihani, ambao alipaswa kumalizia Hisabati na kisha kufanya mtihani mwingine wa Kiswahili ambao ulikuwa ukifuata.
Mkuu wa Wilaya, Lembris Kipuyo naye alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa kwa mujibu wa taarifa alizopewa na vyombo vya ulinzi na usalama kupitia Msimamizi wa Mtihani shuleni hapo, Christina Didas, mwanafunzi huyo aliendelea na mtihani wa Hisabati na baadaye wa Kiswahili ambao ulikuwa wa mwisho kwa juzi, “Ni kweli tumepatwa na tukio hilo na taarifa rasmi nilizonazo ni kwamba baada ya mwanafunzi huyo kujifungua salama, alipewa muda wa kupumzika na baadaye alirejea na kufanya mitihani yake yote na nimeelezwa kwamba leo (jana) pia kama hali yake itakuwa nzuri ataendelea na mitihani ya mwisho,” alisema Kipuyo jana alipozungumza na gazeti hili kwa simu.

PICHA & MAELEZO; Lema Alivotingisha Arusha Baada ya Hukumu Kuahirishwa



Msafara wa aliekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjii ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama


Picha juu na chini wamama wakiwa wanapita njiani wakishangilia aliyekua mbunge wa arusha mjini -Chadema Mh,Godbless Lema wakati akipita kutoka mahakamani


Msafara wa aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini-Chadema Godbless Lema ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama

Gari ya aliyekua mbunge wa Arusha mjini(CHADEMa)Godbless lema likiwa inasukumwa na mashabiki mara baada ya kutoka mahakamani

Aliyekua Mbunge wa arusha mjini(CHADEMA)Mh Godbless Lema akiongea a wananchi nje ya ofisi ya chama mara baada ya kutoka mahakamani leo


wananchi wakiwa nje ya ofisi ya chama wanamsikiliza aliyekua mbunge wa arusha mjini-Chadema Mh Godbless lema

Hawa ni makamanda waliokuwa wamevalia Tisheti za M4C huku mungine akiwa ameshona kanzu kabisa

Gari ya polisi ikiwa inapisha maandamano yapite
—-
RUFAA ya kupinga kuvuliwa ubunge wa aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ambao ulikua inatarajiwa kusikilizwa leo na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa chini ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande na wenzake, Natalia Kimaro na Salum Massatiumesikilizwa ila kesi imearishwa.
Kesi hiyo ambayo ilikuwa inatolewa maamuzi jana imeairishwa na jaji mkuu wa Tanzania kwa kile kilichodaiwa kuwa wakili wa upande wa mkata rufaa na wakili wa serekali kupata matatizo ya kufiwa na baba yao mzazi
Jaji mkuu alifikia hatua ya kuamua kesi hiyo ihairishwe hadi pale ifikapo October 2 mwaka huu ambapo ndipo imesemekana huku ya kesi hiyo ndio itakapo tolewa.
Mara baada ya kesi hiyo kuhairishwa umati mkubwa uliokuwepo mahakamani hapo uliondoka hadi katika ofisi za chama cha demokrasia na maendeleo Chadema ambapo aliyekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema alongea na wananchi walikuwa wakimsindikiza nae aliwasihi wananchi hao kuwaombea majaji wa kesi hiyo ili waweze kutoa hukumu ya haki.
“mimi sio kwamba nataka nishinde na wala siogopi kushidwa ila naomba tuwaombe hawa majaji wa kesi hii ili waweze kutoa maamuzi ya haki yasiyomgandamiza mtu yeyote,na napenda pia kuchukuwa nafasi hi kuwaeleza kuwa jumanne tunatarajia kufanya mkutano katika kiwanja cha ngarenaro ambapo hapo ndipo tutakapo fungua kampeni zetu za udiwani rasmi”alisema lema
Alibainisha kuwa mbali na kuzindua kampeni pia wanampango wa kuzindua mikutano ambayo itajulikana kufa au kupona ,mkutano ambao utafanywa nyumba kwa nyumba pamoja na kitongoji kwa kitongoji

Waislam Tanzania Walaani Kudhalilishwa Mtume Muhamad














Wameandamana kutoka maeneo mbalimbali ya Dar na sasa wanafanya mkutano mkubwa viwanja vya kidongo chekundu

Wednesday, September 19, 2012

AIBU: NORA ATABEBA MZIGO WAKE MWENYEWE KUTOKANA NA PICHA ZAKE CHAFU




KAMA  KAWAIDA, JUZI  TULILAANI  VITENDO VIOVU  VINVYOFANYIKA  HAPA NCHINI  VYA KUPIGA  CHAFU.........

 CHA  AJABU  BAADHI YA WATU  WAKALAUMU KUWA  HATUWATENDEI  HAKI.....HII  SI HAKI YA KUITETEA  JAMANI.

VITENDO HIVI VIMEKUWA  VIKIFANYWA  NA  WATU MAARUFU  HAPA  NCHINI  KWA  LENGO LA KUTAFUTA  UMAARUFU KWA  JAMII.......

MBALI NA  UMAARUFU, WENGINE  KWAO NI BIASHARA. LAKINI NI  BORA  TUKATAMBUA  KUWA  BIASHARA  HIYO  NI HARAMU.........

  SIKU  HIZI  WANAPIGANA  PICHA  CHAFU  MAKUSUDI  KABISAAAAAA!!!!!!....UKIWAULIZA  WATAKWAMBIA NILIKUWA NA UGOMVI  NA MPENZI  WANGU"........AU  " NILIPIGWA  NIKIWA SIJITAMBUI".......AU  "NILIKUWA  NIMELEWA SANA"........

HIZI  ZOTE NI  SABABU ZA UONGO........   KWA SABABU KAMA  ULIKUWA  NA  UGOMVI NA  MPENZI WAKO NA  AKAKUPIGA  PICHA CHAFU, JE,  ULICHUKUA  HATUA  GANI DHIDI YAKE???......

HILI  NDO SWALI  KUBWA  LA  KUJIULIZA.....

KWA NINI UTULAUMU SISI  WAKATI  HATUKUKUPIGA HIZO PICHA  ZAKO?  SISI  HATUKUKUNYWESHA  HIZO POMBE........

NI KWELI, KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA CHOCHOTE  ....LAKINI  YOTE YANAFANYIKA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI  HUSIKA......

CHANGUDOA AKIJIUZA,  POLISI WATAMKAMATA  NA KUMFIKISHA  MAHAKAMANI, IWAJE  WEWE  UNAYEPIGWA AU KUPIGA  PICHA  ZA  NUSU  UTUPU??


MPEKUZI  HAIMDHALILISHI  MTU  YEYOTE, BALI YEYE  NDIYE  ANAYEJIDHALILISHA......

USHAURI: 
1: MPENZI WAKO  AKIKUPIGA  PICHA CHAFU BILA WEWE  KUJUA,  THEN ZIKASAMBAA  MITANDAONI,  KAMSHITAKI YEYE .......HII  ITASAIDIA  KUIJULISHA JAMII KUWA HUJATENDEWA  HAKI NA KWAMBA ULIPIGWA  BILA  RIDHAA  YAKO...

2:  UKIFUMWA  NA MKE  AU MUME WA  MTU  SISI  HATUTAOGOPA  KUKUWEKA HADHARANI, UKIONA  TUMEKUKWAZA,  BASI UKO HURU  KUTUSHITAKI

TUMEAMUA  KUYAANDIKA HAYA KUTOKANA  NA  MAONI YA WATU KUWA HATUJAMTENDEA  HAKI  NORA.

KAMA HAIKUWA RIDHAA YAKE  JE AMECHUKUA  HATUA GANI  KWA HUYO MPENZI  WAKE ALIYEMPIGA?

KAMA  HAKUMCHUKULIA  HATUA  YOYOTE KISHERIA, BASI ALIDHAMIRIA