Tuesday, September 4, 2012

Dr Slaa Alipotua Kwenye Msiba Wa Daud Mwangosi

Leo jioni tukiwa msibani ( Daud Mwangosi) mara akaingia Dr Wilbroad Slaa wa CHADEMA kuja kutoa pole kwa wafiwa. Kamera yangu haikuwa mbali!

No comments:

Post a Comment