Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha
la Serengeti Fiesta 2012, Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa
Kimataifa kutoka nchini Marekani, Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku
wa Ijumaa, Oktoba 5, 2012 nndani ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Julius K. Nyerere, akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma.
Waliop kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd, Balozi
Kindamba ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linalotarajiwa kufanyika hapo Jumamosi, Oktoba 6, 2012.

Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku huu (hawapo pichani) kumlaki

Operesheni Meneja wa Prime Time Promotions, Balozi Kindamba
akiwaongoza wageni wake kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuolekea
kwenye hoteli waliopangiwa kufikia usiku huu. Kuhoto ni Rick Ross na
akiwa na baadhi wanamuziki wenzake aliombatana nao.

Rick Ross akiingia ndani ya mchuma.

Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini, Oktoba 5, 2012 usiku.

Mmoja wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina
akijifananisha na Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu
waliojitokeza kumlaki The Big Boss mwenye Rick Ross.
No comments:
Post a Comment