Waandamanaji wakiwa karibu na geti la Wizara ya Mambo ya ndani
Wanaswali!
Wamekuja kutaka wenzao waliokamatwa kwa kgomea sensa waachiwe huru walizuiwa lakini wamekuja kutoka kila kona na saa hizi barabara ya posta kutoka maeneo mengine moja imefungwa kwa muda na tention ni kubwa saa hiz wanamalizia kuseali salz la alasiri
Wamemaliza kuswali tunasubiri njia ya kuingia polisi makao makuu nayo imefungwa
No comments:
Post a Comment